Kaimosi Friends University Repository

UCHUNGUZI WA MAANA ZA SEMI ZINAZOSAWIRI UANA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI MIONGONI MWA WASWAHILI

Show simple item record

dc.contributor.author WANDA, WENDY CHRISTINE
dc.date.accessioned 2025-02-04T08:12:25Z
dc.date.available 2025-02-04T08:12:25Z
dc.date.issued 2024-09-12
dc.identifier.citation Agbemabiese, P. (2016). Gender Implications in Ewe Proverbs. (Accessed 21 March 2020). Alhabib, E. (2012). Matumizi ya Lugha Katika Nyimbo ya Taarab. Tasnifu ya M.A Kiswahili . Ali, S. K. (2015). The Importance Of Culture In Second and Foreing. Samarinda Indonesia. Bhandari, P. (2022). What is Qualitative Research? Methods & Examples. Scribb. Retrieved from https://www.Scrbbr.com/methodology/qualitative research/ Brockmann, S. (2009). Teaching German Culture. Journal of Education, Humanities and Literature. Brown, H. (2007). Principles of Language Learning and Teaching. Education, Pearson. Byram, K. (2008). Why is it difficult to teach languages as culture? The German Quarterly, 81(1), 20-34. Byram, M. (1988). Foreign Language Education and Cultural Studies. Language, Culture And Curriculum, (1), 15-31. Choudhury, R. U. (2014). The Role of Culture in Teaching and Learning English as a foreign Language. 1(4) , 2348-2052. Retrieved from Kutoka www.express-journal.com Connell,R.W.&Messerchmidt,L.W:I.W.(2005).HegemonicMasculinity:Rethinki ng Sydney, Australia: Sage publications. Connell, R. W. (1995). Masculinities. Berkeley: University of California Press.113 Cozby, P. & Bates, C. (2012). Methods In Behavioral Science Research (11th edn). New York; Graw-Hill. Creswell, S. (2006). Reseach Design; Qualitative, Quantitative And Mixed Methods Approaches. Los Angeles. Felician, A. (2017). Kuchunguza Ujinsia na Matumizi ya Lugha Katika Methali za Wakurya (Doctoral Dissertation). The Open University Of Tanzania. Fraenkel, J. & Wallen, N. (2006). How to Design and Evaluate Research in Education. (Boston, Ed.) McGraw-Hill. Gaichu, M.N. (2016) Uchunguzi wa Sitiari Dhanifu katika Lugha ya Kiswahili kwa Mtazamo wa Nadharia ya Uhusiano, Tasnifu ya Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Nairobi (imechapishwa). Gonen, S. &Saglam, S. (2012). Teaching, Culture In The FL Classrooom. Education: Teachers perspective. International Journal of Global Education Grice, H.P. (1975) Logic and Conversation Ibid. Reprinted in Studies in The Way of Words, pp.22-40. Cambridge, MA: Harvad University. Jimenez, A. (2002). Non Sexist Administrative Manual. Malaga University. John, B. N. (2018). Usawiri wa Utamaduni wa Hadhira Lengwa katika Riwaya Zilizotafsiriwa kwa Kiswahili: Mifano Kutoka Barua Ndefu Kama Hii. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Dodoma. Kamundi, J. I. (2019). Mikakati ya Kuafikia Ulinganifu wa Maana katika Tafsiri ya Kifasihi ya Kazi Mbili Teule za Barbara Kimenya. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Chuka. Kempson, R. (1977). Semantic Theory. London Cambridge University Press.114 Kenya., K. (2019, September 9th). Dhima ya Kiswahili katika Uimarishaji wa Utamaduni na Mazingira kwa Mujibu wa Katiba ya Kenya. East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature, 2. Kibigo, M. L. (2020). Ubabedume katika Majigambo na Miviga ya Shilembe na Mchezasili wa Mayo Miongoni mwa Waisukha nchini Kenya kwa mtazamo wa Kisemantiki. Eldoret: Moi University Press. King'ei, K. &. (2008). Kamusi ya Methali (Toleo Jipya). Nairobi: East African Educational Publishers. King'ei, K., & Ndalu, A. (2008). Kamusi ya Methali (Toleo Jipya). Nairobi: East African Educational Publishers. Kipacha, A. (2014). Misemo Katika Lugha Za Magaridivai Mpya In Swahili Forum . International Journal of studies, 21. Kiunga, T. M, (2016). Maana ya Usemi Na Mazungumzo Katika Mitandao ya Kijamii Hususani Facebook na Twitter: Tasnifu ya Uzamili: Chuo Kikuu cha Nairobi (imechapishwa) Kombo, D.K & Tromp, L.A.D. (2006). Proposal and Thesis Writing: An Introduction. Nairobi: Paulines Publications Africa. Kothari, C. (2008). Research Methodology; Methods and Techniques. New Age International LTD Publishers. Massamba, M. (2004). Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha; Dar es Salaam. Tanzania Publishing House. Matei, A. K. (2017). Riwaya ya Chozi la Heri. Nairobi: One planet Publishing & Media Services Limited. Mauya, M. (2006). Maandishi Katika Vazi la Kanga Wanazovaa Wanawake, Tasnifu ya Kiswahili. Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.115 Mbusya, C. M. (2019). Mielekeo ya Wanafunzi wa Shule za Upili Kuhusu Methali Kinzani; Kitui: Tasnifu ya shahada ya Uzamili. (imechapishwa) Mnata, R. (2014). Semaniki na Pragmantiki; Dodoma Tanzania. University Press. Mtesigwa, G. K. (2013). Kuchunguza Matumizi ya Methali Katika Jamii ya Wanyiramba, Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Kiswahili: Chuo Kikuu cha Huria cha Tanzania. Mugenda, O. M., & Mugenda, A. G. (2003). Research Methods: Qualitative and Quantitative methods. Nairobi: Acts Press Mulugu, K.A. (2011). Usawa katika Methali za Kisambaa, Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kutoka www. lulu. com/… Uchambuzi wa methali za Kiswahili/… product- 20920021. Mulunguka, A. (2011). Uchambuzi wa Usawa katika Methali za Kisambaa, Tasnifu ya Uzamili: Chuo Kikuu cha Huria Tanzania. Murega, M. M. (2015). Uchanganuzi wa Methali za Kiswahili kwa Kuzingatia Mtazamo wa Kiudenguzi. Nairobi.Tasnifu ya Uzamifu: Chuo Kikuu cha Kenyatta. Mwihaki, A. (2004). Meaning As Use; A Functinal View osf Semantics and Pragmatics. Swahili Forum, 127-139. Obuchi, S., & Sangili, N. (2016). Taaluma ya Maana; Semantiki na Pragmatiki. Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation. Ochichi, A. K. (2013). Uwazi na Umaanisho: Usimbaji Maana Kimazungumzo katika Ekegusi na Kiswahili. Nairobi: Tasnifu ya Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Nairobi.116 Oyaro, C. (2019). Tafsiri za Methali na Misemo katika Mshale wa Mungu. Nairobi: Tasnifu ya Shahada ya Uzamifu Chuo Kikuu cha Nairobi. Rajabu, A. (2012). Dhima ya Misemo Iliyoandikwa katika Fulana. Dar es Salaam: Tasnifu ya Uzamili. Simiyu, W. (2013). Kitovu cha Fasihi Simulizi: Mwanza. Serengeti Educational Publishers. Theonestina, S. (2011). Dhana ya Methali ya Kihaya: Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu Cha Huria Tanzania. Tirus, G. M. (2020). Mabadiliko ya Maana za Leksia za Kiswahili kwa Kuangazia Mtazamo Linganishi wa Kikale na Kisasa. Nairobi: Tasnifu ya Uzamifu Chuo Kikuu cha Kenyatta. TATAKI. (2019). Kamusi ya Kiswahili ya Karne ya 21. Nairobi: Oxford Press. Vygotsky, L. W. (1978). Mind in Society. Cambridge, MA: Havard University Press. Wamitila K.W. (2005) Kamusi ya Methali.Nairobi: Longhorn Publishers Walsh, C. (1997) Women, Men and Gender: Ongoing Debates. London: Yale University Press, New Haven. Yakout, A. N. (2019). Tathmini ya Utoaji Maelezo ya Utamaduni katika Kufundisha Kiswahili Kama Lugha ya Kigeni. Zanzibar: Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar. (kimechapishwa) en_US
dc.identifier.uri http://erepository.kafuco.ac.ke/123456789/252
dc.description.abstract Tafiti nyingi zimefanywa kuhusu suala la uana na watafiti mbalimbali katika jamii za Kiafrika na ulimwengu kwa jumla. Jamii za kijadi na hata za kisasa zingali zinatumia semi zinazoshusha hadhi ya wanawake katika mawasiliano yao. Semi hizi zinatumiwa katika mazungumzo kwa kujua au kwa kutojua. Jambo hili limekuwa la kawaida kutokana na imani potovu ya jamii inayowachukua wanawake kama viumbe duni ikilinganishwa na wanaume. Ingawa tafiti zimefanywa kuhusu uana, hakuna utafiti wa kutosha uliofanywa moja kwa moja kuhusu, uchunguzi wa maana za semi zinazosawiri uana katika lugha ya Kiswahili. Ili kutimiza lengo kuu la utafiti, madhumuni yafuatayo yalitumiwa; kubainisha maumbo ya semi mbalimbali zinazosawiri uana katika lugha ya Kiswahili, kuchanganua maana kijamii za semi mbalimbali zinazosawiri uana katika lugha ya Kiswahili na kuchunguza jinsi utamaduni wa Waswahili unavyoumba maana za semi kiuana katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili. Nadharia ya kwanza ni ya Uwezo Uume iliyoasisiwa na Robert Bly na kuendelezwa na Connell. Nadharia hii hubainisha nguvu na mamlaka yanayomilikiwa jinsia ya kiume hasa kutokana na utamaduni wa jamii husika. Nadharia ya pili ni nadharia ya Maana Kijamii. Nadharia ya maana kijamii imekua kutoka kwa kazi ya mwanasaikolojia Lev Vygotsky. Nadharia hii hueleza kwamba maana kijamii hutokana na muktadha unaotawaliwa na elementi za kijamii kama vile lahaja, imani na tamaduni za jamii. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelezo. Utafiti huu ulikuwa wa maktabani na wa nyanjani. Data za nyanjani zilikusanywa kwa kundi lingani ya wataalam sita katika Makavazi ya Kiutamaduni ya Kiswahili Mombasa. Data ya maktabani ilikusanywa na mtafiti aliposoma Kamusi ya methali ya Lulu za lugha iliyoandikwa na Wamitila na Riwaya ya Chozi la Heri iliyoandikwa na Matei. Idadi lengwa iliyotumiwa katika utafiti huu ni semi sitini. Utafiti huu ulitumia sampuli ya uchunguzi wa sampuli ya sensa na kolevu kukusanya data. Mbinu za majadiliano na kundi lingani pamoja na usomaji wa nyaraka za maandishi zilitumiwa kukusanya data. Data za maktabani na nyanjani zilichanganuliwa kimaelezo kutegemea madhumuni ya utafiti. Mtafiti aliwasilisha data kutumia maelezo na majedwali. Matokeo ya utafiti huu yalibaini kwamba, maana ya kijamii za semi nyingi za methali na misemo inayosawiri uana, zinaegemea sana wanawake kwa upande wa uhasi na wanaume kichanya. Matokeo haya yana umuhimu katika taaluma ya isimu, hasa katika lugha na uana kwa kubainisha maumbo ya semi yanayosawiri uana katika lugha ya Kiswahili na kuchanganua maana zao kijamii. Data ambazo zilikusanywa zilimwezesha mtafiti kujibu maswali ya utafiti na kujaza mapengo yaliyoachwa na watafiti wa awali. Utafiti huu unatoa mchango kwa dafina na matumizi ya lugha katika isimu matumizi. Vilevile, imeonyesha jinsi maana inavyosawiriwa kijamii inavyojikita katika mawanda ya utamaduni. Mtafiti alitoa muhtasari, hitimisho na mapendekezo ya utafiti wa baadaye. Mtafiti anapendekeza kuwa, watafiti wa baadaye wachunguze suala la maana na uana kwa mtazamo wa tanzu mbalimbali za fasihi. en_US
dc.description.sponsorship KAIMOSI FRIEND'S UNIVERSITY en_US
dc.language.iso other en_US
dc.title UCHUNGUZI WA MAANA ZA SEMI ZINAZOSAWIRI UANA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI MIONGONI MWA WASWAHILI en_US
dc.type Thesis en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Erepository


Browse

My Account