Kaimosi Friends University Repository

WINGILUGHA NA ATHARI ZAKE KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO KAUNTI YA MACHAKOS, KENYA

Show simple item record

dc.contributor.author WILLINGTON, KILONZO PETER
dc.date.accessioned 2023-01-13T07:13:35Z
dc.date.available 2023-01-13T07:13:35Z
dc.date.issued 2022-12
dc.identifier.citation Ajzen, I. na Fishbein, M. (1980). Understanding attitudes and predicting social behaviour. Prentice- Hall Inc. Almeidai, F. (2018). Strategies to perform a mixed methods study. European Journal of Education Studies, 5(1), 137- 151. Retrieved March 10, 2022 from https://core.ac.uk/download/pdf/236101754.pdf Arnold, D. G. (2021). Universal research ethics and international business studies. Journal of International Business Studies, 52(7), 1229– 1237. Retrieved March 8, 2022 from https://link.springer.com/article/10.1057/s41267-021-00418-1 Best, W.J na Kahn J.V. (2010) Research in Education. New Jersey U.S.A: Person Prentice Baruch, Y. (1999). Response rate in academic studies-A comparative analysis. Human Relations, 52(4), 421-438. Retrieved July 20, 2022 https://doi.org/10.1177/001872679905200401 Chhaya, K. S. (2017). 'Economic development and language: A journey through India'. SSRN Electronic Journal. Retrieved March 4, 2022 from https://doi.org/10.2139/ssrn.3053765 Cook, J. V., Dickinson, H. O., & Eccles, M. P. (2009). Response rates in postal surveys of healthcare professionals between 1996 and 2005: An observational study. BMC Health Services Research 9(1). Retrieved August 9, 2022 from https://doi.org/10.1186/1472-6963-9-160 Crystal, D. (2010) The Cambridge encyclopedia of language. Cambridge: Cambridge University Press. 123 Dhingra, M., & Dhingra, V. (2012). Research methodology (1st ed.). Enkay Publishing House. Frawley, W.J. (2003) International encyclopedia of linguistics Vol 2. London: Oxford University Press. Imbunya, J. K. (2020). Research methods simplified for the 21st century and beyond (1st ed.). Jabayonko Artworks. Jain, T. (2011). Common tongue: The impact of language on economic performance. SSRN Electronic Journal. Retrieved April 3, 2022 from https://doi.org/10.2139/ssrn.1947148 Kamau, S. N. (2015). Taathira za Kiswahili na Lugha Nyingine kwa Uthabiti wa Kiisimujamii wa Lugha za Mama Mijini Nairobi, Kiambu na Thika: Mfano wa Kikuyu [Doctoral dissertation]. Retrieved April 10, 2022 from https://ir-library.ku.ac.ke/bitstream/handle/123456789/1434 8/Taathira%20za%20kiswahili%20na%20lugha%20nyingine%20kwa %20uthabiti%20wa%20kiisimujamii....pdf?sequence=1&isAllowed=y Kavoi, J. K. (2019). Mielekeo Ya Wanafunzi Kuhusu Ufundishaji Wa Stadi Za Mawasiliano Kwa Kiswahili Katika Taasisi Za Kiufundi Za Kitaifa Nchini Kenya [Doctoral dissertation]. Retrieved March 5, 2022 from http://repository.rongovarsity.ac.ke/bitstream/handle/123456789/2071/ JACKSON%20MUTUKU%20KAVOI.pdf?sequence=1&isAllowed=y Kawonga, G. A. (2019). Nafasi ya Kiswahili katika mandhari-lugha: Uchambuzi kifani wa mabango ya matangazo ya makampuni ya mawasiliano ya simu. Apache Tomcat/8.5.60. Retrieved April 26, 2022 from https://ir.mu.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/3779 KNBS. (2019). The 2019 Kenya population and housing census: Population by County and sub-County (1). Kenya National Bureau of Statistics. 124 Retrieved April 13, 2022 from https://www.knbs.or.ke/2019-kenya population-and-housing-census-reports/ Kevogo, A. U., Kitonga, N. N., & Adika, S. K. (2015). Multilingualism and language use patterns: Students attitude towards Kiswahili in Garissa town, Kenya. Research on Humanities and Social Sciences, 5(4), 185- 193. Retrieved May 3, 2022 from https://www.researchgate.net/ publication/356392181Multilingualismand_Language_Use_Patterns_S tudents_Attitude_towards_Kiswahili_in_Garissa_Town_Kenya?enrich Id=rgreq-1dcc5d30f36bc92d688028d9 8a7a27e2-XXX&enrichSource =Y292ZXJQYWdlOzM1NjM5MjE4M TtBUzoxMDkxOTU5OTcyMj EyNzQxQDE2MzczNTQ5NTM2NjI%3D&el=1_x_3&_esc=publicati onCoverPdf Kothari, C. R. (2004). Research methodology. Methods and techniques (Second Revised Edition). New Delhi: New Age International Ltd Publishers. Kothari, C. R. na Garg, G. (2019). Research methodology. Methods and techniques (Fourth Edition). New Delhi: New Age International Ltd Publishers. LINEE. (2010). Challenges of multilingualism in Europe: Core findings of the LINEE (9). Language in a Network of European Excellence. Retrieved February 25, 2022 from https://cordis.europa.eu/docs/results/28/28388/ 124376831-6_en.pdf Machakos County. (2022). About us. Machakos County – The Place to Be! Retrieved March 3, 2022, from https://machakosgovernment.co.ke/ about-us/ Mishra, P., Pandey, C. M., Singh, U., Gupta, A., Sahu, C., & Keshri, A. (2019, January). Descriptive statistics and normality tests for statistical data. 125 PubMed Central (PMC). Retrieved September 5, 2022 from https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6350423/ Mohochi, S. (2011). Mielekeo ya wasomi wa Kiswahili na viongozi wa Afrika Mashariki kuhusu lugha ya Kiswahili. Swahili Forum, 24-36. Mugenda, O. M na Mugenda, A. G. (2003). Research methods: Qualitative and quantitative methods. Nairobi: Acts press. Mwangi, W. D. (2016). Changamoto na Manufaa ya Kutafsiri Kiswahili Katika Miktadha ya Wingilugha Narok Kaskazini [Master's thesis]. Retrieved April 15, 2022 from http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/ handle/11295/97178/CLS%20606%20PROJECT%20COPLETE%20F INAL%20COPY.pdf?sequence=1 Mutua, J. N., & Kiruhi, T. M. (2021). Village elders’ participation in public governance in Kenya: A phenomenological study. Open Journal of Leadership, 10(02), 110-128. Retrieved April 1, 2022 from https://doi.org/10.4236/ojl.2021.102008 Nation. (2015, September 26). Raila encourages use of vernacular language in County assembly [Video]. YouTube. Retrieved March 18, 2022 from https://www.youtube.com/watch?v=6ebsmfrw3XY Nursanti, E., Andriyanti, E., Kurnianta, P., & Sudartinah, T. (2020). Patterns of language use among multilingual university students majoring in English. LITERA, 19(2), 231-244. Retrieved April 6, 2022 from Https://Www.Researchgate.Net/Publication/343209767_Patterns_Of_ Language_UseAmong_Multilingual_University_Students_Majoring_I n_English Nyandwaro, L. K. (2015). Mielekeo Ya Wafanyakazi Kuhusu Kiswahili Kama Lugha Rasmi Katika Wizara Za Serikali Nchini Kenya: Mintaarafu, 126 Kaunti Ya Kisii [Master's thesis]. Retrieved February 19, 2022 from https://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/13476 Painter, D. & Dixon, J. (2012). Language Attitudes in Southern Africa. To Cindy Galloris, 105. Pendakur, K., & Pendakur, R. (2015). Speak and ye shall receive: Language knowledge as human capital. In Economic Approaches to Language and Bilingualism. New Canadian Perspectives (1st ed., pp. 89-120). EDRS. Rassool, N., Edwards, V., & Bloch, C. (2006). Language and development in multilingual settings: A case study of knowledge exchange and teacher education in South Africa. International Review of Education, 52(6), 533-552. Retrieved March 2, 2022 from https://doi.org/10.1007/s1115 9-006-9008-x Saidi, M. V. (2021). Kiswahili na maendeleo mashambani nchini Kenya. Jarida la CHAKITA, 1(1), 19-26. Sangili, N. K. (2019). Udumishaji wa Lugha ya Kimaragoli Katika Eneobunge la Uriri, Kenya [Doctoral dissertation] Retrieved March 6, 2022 from http://repository.rongovarsity.ac.ke/bitstream/handle/123456789/2073/ SANGILI%20NABETA%20NIXON%20KENYANI.pdf?sequence=1 &isAllowed=yChuo Kikuu cha Rongo Sarantakos, S. (2005). Social research. Palgrave Macmillan. Sridhar, K. K. (1996). Societal multilingualism. In Sociolinguistics and Language Teaching (11th ed., pp. 47-70). Cambridge University Press. Wamalwa, E. W., Mohochi, E. S., & Odeo, E. I. (2019). Mielekeo ya Lugha Na Ruwaza Za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahili wa shule 127 Za msingi. Repository Home. Retrieved July 26, 2022, from https://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/2329 Wambugu, L., & Njoroge, N. (2022). The search for understanding of mixed method research among graduate students: A case of learners in the school of continuing and distance education, university of Nairobi, Kenyaeducation, university of Nairobi, Kenya. Quality and Quantity, 56(2), 843-855. Retrieved August 23, 2022 from, https://link.springer.com/article/10.1007/s 11135-021-01150-6 Walsh, J. (2006). Language and socio-economic development. Towards a theoretical framework. Language Problems & Language Planning, 30(2), 127-148. Retrieved March 9, 2022, https://doi.org/10.1075/ lplp.30.2.03wal Wisbey, M. (2016, October). Sustainable Development through Multilingual Education [Paper presentation]. 5th International Conference on Language and Education, Bangkok, Thailand. Retrieved May 24, 2022, from http://www.lc.mahidol.ac.th/mleconf/2016/program.htm en_US
dc.identifier.uri http://erepository.kafuco.ac.ke/123456789/159
dc.description.abstract Kila lugha ina mchango wake katika maendeleo na wingilugha unaweza kuathiri maendeleo kwa njia chanya au hasi. Utafiti huu uliongozwa na madhumuni matatu: kuchanganua ruwaza za matumizi ya lugha katika Kaunti ya Machakos, kutathmini uhusiano na athari za lugha mbalimbali katika utekelezaji za maendeleo na kutambua nafasi ya mielekeo katika uteuzi wa lugha mahsusi za kuundia na kuwasilishia sera za maendeleo katika Kaunti ya Machakos. Msingi wa kifalsafa wa utafiti huu ulijengwa na nadharia mbili; Kiunzi cha Kinadharia cha Lugha na Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi na Nadharia ya Utendaji Razini. Ili kufikia lengo hili, utafiti huu ulitumia muundo mseto huku muundo afikivu mseto ukitumika kufasili data za kitaamuli na zile za kitakwimu.Sampuli ya utafiti huu ilihusisha watafitiwa 146; wananchi 142 kutoka kwa vijiji sita vilivyotabakishwa na waundaji sera wanne kutoka kwa idara nne lengwa. Kwa msingi kuwa huu ni utafiti mseto, uchunguzi huu ulitumia mbinu nasibu na zisizonasibu za usampulishaji. Usampulishaji utabakishaji sinasibu ulitumika kuteua vijiji lengwa sita huku usampulishaji nasibu sahili ukitumika kuteua kadiri ya asilimia ya sampuli ya kila kijiji. Mbinu ya usampulishaji kimakusudi ilitumika kuteua viongozi wa idara nne lengwa. Utafiti huu ulitumia vifaa vya hojaji funge na nusu-funge, dodoso nusu-funge, mwongozo wa uchunzaji na kiunzi cha kuchanganulia nyaraka zilitumika kukusanya data. Zanatepe ya Kichanganuzi Data za Kitakwimu za Sayansi Jamii ilitumika kuchanganua data za kitakwimu huku uchanganuzi kidhamira ukitumika kuchanganua data za kitaamuli. Ili kuhakikisha uthabiti na uhalali wa utafiti na vifaa vya ukusanyaji data, utafiti wa majaribio ulifanywa katika eneo la Kitengela na uhalali wa maudhui kufanywa kwa vifaa husika mtawalia. Matokeo yalionyesha kuwa katika maeneo vizingasifa ya mashinani, lugha ya Kikamba na mseto wa Kikamba na Kiswahili ni maarufu zaidi huku lugha za Kiingereza na Kiswahili zikiwa maarufu zaidi katika maeneo vizingasifa ya mjini na kuwa zina athari chanya kwa utekelezaji wa maendeleo katika maeneo husika. Mielekeo chanya kwa lugha ya Kikamba katika maeneo ya mashinani yalichangia matumizi mapana ya lugha hii. Kwa jumla, matokeo yalionyesha kuwa wingilugha una athari chanya au hasi kwa utekelezaji wa maendeleo kulingana na jinsi lugha husika zinavyotumika katika mawanda mbalimbali. Matokeo ya utafiti huu yatawasilishwa kwa waundaji sera wa Kaunti ya Machakos ili kuwaarifu kihakikifu vigezo sahihi vya uteuzi wa lugha katika mchakato wa kuunda na kuwasilisha sera za maendeleo kwa lengo la kuimarisha utekelezaji wa maendeleo. Matokeo haya pia yatairutubisha taaluma ya isimujamii. en_US
dc.description.sponsorship KAIMOSI FRIENDS UNIVERSITY en_US
dc.language.iso en en_US
dc.title WINGILUGHA NA ATHARI ZAKE KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO KAUNTI YA MACHAKOS, KENYA en_US
dc.type Thesis en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Erepository


Browse

My Account